Nafahamu mashabiki wa mpira wa kikapu duniani hawatapenda kupitwa na hii list iliyozitaja timu 5 za Baskteball kutoka kwenye ligi kuu ya NBA ambazo zimefanikiwa kuchukua ubingwa wa Ligi hiyo mara nyingi.
Takwimu imezitaja timu zilishoshiriki mashindano ya mpira wa kikapu kuanzia mwaka 1976 ikiwemo club ya San Antonio Spurs ambayo ilianzishwa mwaka 1967 lakini ilijiunga na ligi ya NBA mwaka huo huo 1976.
Zipo pia timu kama Los Angeles Lakers ambayo ilikuwa ikiitwa Minneapolis Lakers kuanzia mwaka 1947 mpaka 1960.



Kuna club ambazo zimefanikiwa kutwaa kikombe cha Larry O’Brien NBA Championship ambacho hutolewa na Chama cha Mpira wa Kikapu kwa mshindi wa fainali za NBA kila msimu.
Kikombe hicho kilikuwa kinaitwa Walter A. Brown mpaka kufikia mwaka 1984 kilipobadilishwa jina na kuitwa Larry O’Brien NBA Championship.
Hizi ni timu tano bora zilizochukua ubingwa wa Basketball mara nyingi zaidi katika Ligi ya NBA.
Jina la Timu Idadi ya Ubingwa Miaka ya Ushiriki
1. Boston Celtics 17 Miaka 74
(Boston, Massachusetts) (1946-2020)
2. Los Angeles/Minneapolis Lakers 16 Miaka 73
(Los Angeles, California) (1947-2020)
3. Golden State Warriors 6 Miaka 74
(Oakland, California) (1946-2020)
4. Chicago Bulls 6 Miaka 54
(Chicago, Illinois) (1966-2020)
5. San Antonio Spurs 5 Miaka 53
(San Antonio, Texas) (1967-2020)
Jiunge na meridianbet Leo ujishindie Bonasi na ofa kibao kwaajili yako.


Njiku
Good mews pia kutujulisha wana michezo safii merdian
Furahav
Habari nzuri.
Issa
Mabingwa wa nba
fatumakasom
Habari nzuri
Hope mwaikuka
Axante kwa kunijuza hili
Amiri Kayera
Nc update
Hamidu
Asante kwa update za michezo
Franky
Golden State Warriors..nawakubari sana wanyama awaa
Janeflora malisa
Nice NBA
Amani
Los Angeles Lakers ambayo ilikuwa ikiitwa Minneapolis Lakers kuanzia mwaka 1947 mpaka 1960.hii timu ilikuwa on fire#meridianbettz
devotha
Asante kwa kutujuza
Samiah
Hatari sanaaaa
Ernest
Nafurahi sana kupata historia mbalimbali kupitia Meridianbet, Kazi nzuri sana
Sadick
Jinsi Boston Celtic ilivyodorora miaka hii sikujua kama imechukua Ubingwa mara nyingi kuliko Timu nyingine#meridianbettz
Edgar
Sawa kabisa
Theonestina
Habari nzuri Sana kwetu sisi mashabiki wa mpira
mwakalosi
city 😎😎😎😎 man we speak about golden state warriors a. k.a smasher
Gabriel
Habar njema sana 👍
Omary lukumbi
Habar njema hii na ilikua ushindan mkubwa sana
Tahiya
Ama kwa hakika kwenye NBA kuna ushindani mkali
Saupha mohamed
Habari mzurii
farida ahmadi
Habari nzuri Sana kwetu mashabiki
Salma
Habari njema
Frank Patrick
Siku hizi nawafuatilia sana boston celtics
Latifa juma mohamed
Newu updates
David Pere
Thanks for good news
Neema juma
Mko vizuri kwa taarifa .meridianbet
Flomena
Good news
mwajuma
Habari njema#Meridianbettz
Adelta
Habari njema
isha
Ahsanteni kwa kutupa hisitolia ya timu zilizo chukua ubingwa mara nyingi
Genia Sikaluzwe
Good 👍 news
Ester jackson
Asante kwa nakala
Rehema
Gud news
Zeiyana
Asante kwa habari
Johnmary joel
Hongera zao #meridianbett
Mwanahamisi
Gud news
Tatu
Habari nzuri
tumaini
Maoni:Good news
felister
ahsante kwa taarifa
Khadija
Habari njema#meridianbettz
Dorophina
Good news #meridianbet
lombo
habar njema
Magdalena
Ahsante Sana kwa taarifa za timu Bora NBA
Shafii
Makala nzuri saana
warda
Mnajua kutufurahisha jamani#Meridianbettz
sabrina
Asante kwa taarifa