FIFA leo imetoa taarifa ya tiketi za kuangalia michuano ya kombe la dunia mwaka huu nchini Qatar 2022 ambayo inatarajiwa kuanza Novemba 17 ambapo mpaka sasa zaidi ya tiketi 2.45 milion zimeshauzwa kwa michezo ya awali.

FIFA pia walitoa taarifa ya michezo ambayo iliongoza kwa tiketi zake kununulia kwenye hatua ya makundi ambayo ni Cameroon vs. Brazil, Brazil vs. Serbia, Portugal vs. Uruguay, Costa Rica vs. Germany na Australia vs. Denmark.

FIFA, Qatar 2022: FIFA Yauza Tiketi 2.45Million za Kombe la Dunia Mpaka Sasa, Meridianbet

Pia nchi ambazo ziliongoza na kuhitaji tiketi kwa wingi ni Qatar, Saudi Arabia, the USA, Mexico, the UAE, England, Argentina, Brazil, Wales na Australia.

FIFA imewahamasisha mashabiki wote ambao wanatiketi za mchezo mmoja au zaidi kufanya uthibitisho wa kulipia maradhi kwani wengi wamethibitisha kupata changamoto mpaka sasa kwa sababu ya ukomo wa upatikani wa huduma hiyo na kuomba Hayya – vitambulisho vya mashabiki kwenye mashindo hayo.

“Uthibitisho wa Hayya, pamoja tiketi halali ya mchezo, itatoa nafasi kwa watazamaji kuweza kuingia uwanjani, kuweza kupata kibali cha kuingia Qatarkwa mashabiki wa kimataifa na kutumia usafiri wa bure wa umma kwenye siku ya mechi, pia ni fainda nyinginezo kama mwenyeji.” FIFA alisema.

Mwishoni mwa Septemba siku rasmi ya mwisho kutangazwa kwa dakika za mwisho wa mauzo ya tiketi ambayo itakuwa hadi mwisho wa mshindano. Tiketi zitauzwa kwa wakwanza kufika wakwanza kuhuhudumiwa na kuthibitishwa haraka baada ya malipo kupitia mtandao wa FIFA.

Pia tikieti zitauzwa kwenye vituo vya mjini Doha baada ya kuzinduliwa kwa awamu ya mwishoya mauzo.

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa