Yanga wanataka kuifunga Ruvu.

KUELEKEA mchezo wao wa ligi dhidi ya Ruvu Shooting, benchi la ufundi la Yanga limefunguka kuwa wanatambua mchezo huo utakuwa mgumu lakini wanahitaji pointi tatu ili kuendeleza rekodi ya kutopoteza mchezo.

yangaYanga tangu msimu wa 2021/22 mpaka sasa haijawahi kupoteza mchezo wowote wa ligi na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu, Shirikisho la Azam na Ngao ya jamii.

Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa “Tunaendelea na maandalizi na tunaenda kwenye huo mchezo kwa tahadhari kubwa kwani tunajua kwamba mchezo huo utakuwa mgumu sana.

“Ruvu Shooting hata msimu uliopita walitusumbua sana na walisababisha tukagawana pointi kule kigoma lakini kwa sasa tunahitaji zaidi ushindi.”

Mchezo huo wa ligi kuu unatarajiwa kupigwa Oktoba 3 mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar.

yangaBaada ya mchezo huo wananchi watakwenda kucheza mchezo wa raundi ya kwanza dhidi ya klabu ya Al-Hilal ya Sudani oktoba 8 katika Uwanja wa taifa jijini Dar-es-salaam.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.