Robo Fainali ya Copa America Nani Anacheza na Nani?

Hatua ya makundi kwenye michuano ya Copa America 2021 ilikuwa na jumla ya michezo 20 kwaajili ya kuziondoa timu mbili pekee.

Lakini sasa hatua ya makundi imeisha na Bolivia na wenzao Venezuela wamefungasha mabegi yao sasa tunaelekea hatua ya robo fainali.

Katika kundi A , Argentina wamefuzu wakiwa ndiyo vinara wa kundi hilo wakifuatiwa na nafasi ya pili Uruguay, Paraguay wakiwa nafasi ya tatu na Chile walimaliza nafasi ya nne.

Kundi B, Brazil walimaliza wa kwanza peru nafasi ya pili nafasi ya tatu Colombia nafasi ya nne ilifungwa na Ecuador.

Hiyo inamaanisha robo fainali itakuwa kama ifuatavyo: Peru vs Paraguay, Brazil vs Chile, Uruguay vs Colombia na Argentina vs Ecuador.

Hii inamaanisha hatu ya nusu fainali itawakutanisha mshindi wa Peru vs Paraguay atacheza dhidi ya mshindi wa Brazil vs Chile na mshindi kati ya Uruguay vs Colombia atacheza dhidi ya mshindi kati ya Argentina vs Ecuador.


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.