Droo ya raundi ya tatu ya Kombe la FA la Emirates ilifanyika siku ya Jumatatu jioni, huku vilabu vya Ligi Kuu na EFL Champioship vikijiunga na kinyang’anyiro hicho.
Manchester United itamenyana na Aston Villa ya Steven Gerrard katika raundi ya tatu ya Kombe la FA na Leicester wataanza harakati za kutetea taji hilo dhidi ya Watford wakati Chelsea watawaalika viongozi wa National League Chesterfield katika dimba la Stamford Bridge na Arsenal ambao wamenyanyua taji hilo mara 14 wataumana na Nottingham.
Droo kamili ya FA Cup raundi ya Tatu
1 Boreham Wood v AFC Wimbledon
2 Yeovil Town v AFC Bournemouth
3 Stoke City v Leyton Orient
4 Swansea City v Southampton
5 Chelsea v Chesterfield
6 Liverpool v Shrewsbury Town
7 Cardiff City v Preston North End
8 Coventry City v Derby County
9 Burnley v Huddersfield Town
10 West Bromwich Albion v Brighton & Hove Albion
11 Kidderminster Harriers v Reading
12 Leicester City v Watford
13 Mansfield Town v Middlesbrough
14 Hartlepool United v Blackpool
15 Hull City v Everton
16 Bristol City v Fulham
17 Tottenham Hotspur v Morecambe
18 Millwall v Crystal Palace
19 Port Vale v Brentford
20 Swindon Town v Manchester City
21 Wigan Athletic v Blackburn Rovers
22 Luton Town v Harrogate Town
23 Birmingham City v Plymouth Argyle
24 Manchester United v Aston Villa
25 Wolverhampton Wanderers v Sheffield United
26 Newcastle United v Cambridge United
27 Barnsley v Ipswich Town or Barrow
28 Peterborough United v Bristol Rovers
29 West Ham United v Leeds United
30 Queens Park Rangers v Rotherham United
31 Charlton Athletic v Norwich City
32 Nottingham Forest v Arsenal
Mechi za raundi ya tatu ziataanza kutimua vumbi wikendi ya Ijumaa tarehe 7 hadi 10 mwezi Januari 2022.
Unaweza kujishindia mamilioni katika kasino yako pendwa ya meridianbettz, mchezo wa Agent Jane Blonde Return ni moja ya michezo inayopendwa kwasasa huku ikiwafanya wachezaji kuwa mamilionea kila siku. Unasubiri nini! ungana na Agent Jane Blonde akufanye milionea.
CHEZA HAPA


