Kiungo Bruno Fernandes amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa mwaka wa Manchester United licha ya wachezaji wenzake kumpigia kura beki wa kushoto Luke Shaw. Fernandes amechaguliwa kuwa Bora na mashabiki.
Kiungo huyo wa Kireno amepata asilimia 63 ya kura hizo za mashabiki, licha ya kwamba kwa wachezaji wenzake wanayemwona ni bora zaidi kwa msimu huu ni Luke Shaw.
Kwenye kura hizo Shaw amemaliza wa pili huku Cavani, Greenwood na Marcus Rashford wakikamilisha tano Bora.
Unadhani nani amekuwa bora zaidi kwa Man Utd msimu huu:
🅰️ Bruno Fernandes
🅱️ Luke Shaw
Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.
Shakila
Asant kwa makala meridian Bett mkojuu