Pickford Apumzishwa Mechi Dhidi ya Newcastle.

Golikipa namba moja wa timu ya taifa ya Uingereza Jordan Pickford amepumzishwa na Everton kuelekea mchezo dhidi ya Newcastle, Carlo Ancelotti amesema.

Pickford hakujumuishwa katika kikosi cha Everton kwa mchezo wa Jumapili na nafasi yake imechukuliwa na usajili mpya Robin Olsen akitimiza mchezo wake wa kwanza katika Premier League.

Pickford Apumzishwa Mechi Dhidi ya Newcastle.

Mlinda lango wa zamani wa Sunderlandalicheza michezo 120 mfululizo kwa michezo ya ligi tangu ajiunge na Everton mwaka 2017, lakini Ancelotti amesisitiza kwamba haikuwa ni mbinu ya kiufundi kwa kufanya maamuzi hayo.

Meneja wa Everton amewahakikishia mashabiki kwamba Pickford atarejea kwa mchezo unaofuata.

“Haikuwa mbinu ya kifundi,” Ancelotti aliiambia Sky Sport. “Nilitaka kumpa mapumziko tu katika mchezo huu na kumpa fursa Olsen ya kuonesha ukali wake.

“Jordan atarejea kwaajili ya mechi ifuatayo dhidi ya Manchester United.”

Everton pia itwakosa watu kama Seamus Coleman na James Rodriguez wanaosumbuliwa na majeraha pia Tyneside pamoja na Lucas Digne na Richarlison ambao wanaadhabu.

Digne alitolewa nje kwa kadi nyekundu katika mchezo dhidi ya Southampton wiki iliyopita.


TSH.160,000,000 KUSHINDANIWA!

Tunazungumzia mkwanja wa Tshs.160,000,000! Kupitia Kasino ya Mtandaonii ya Meridianbet unaweza kuwa milionea wakati wowote.

Kamata Mkwanja wako HAPA

20 Komentara

    Bonge la kipa uingereza

    Jibu

    Yap ni sahihi kumpumzisha wachezaj kwn unatowah nafasi kwa wachezaj wengne kuonyesha uwezo wao kingne unampa nafasi ya kupumzika kwn mashindano yapo mengi kingne unaondokah mchezaj kupata majeruh ya mala kwa mara credit kwake kwa carlo Ancelotti kwa kumpumzisha nyanda wake namba moja pickford๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ

    Jibu

    Sio mbaya Pickford kupumzika ilituone huo usajili mpya km yaliyomo yamo

    Jibu

    Bora Alivyo punzishwa

    Jibu

    Kipa Yuko vizuri ๐Ÿ‘๐Ÿ‘

    Jibu

    ni vizuri sana hitampa nafasi kubwa ya kuhusoma mchezo pindi hatakavyo rudi hataimarika hipasavyo

    Jibu

    Ni njema pia kupumzishwa ilikuwapa wachezaji wengine nafasi ya kuonyesha pia uwezo wao

    Jibu

    Kocha yupo sahihi na yy anapata mda wa kupumzika na kuwaachia wengine kuonyesha uwezo wao

    Jibu

    Ni Jambo zuri sbabu akirud hatakuw amejifunz mengi

    Jibu

    Vizuri Bora wampumzishe

    Jibu

    Ni kipa mzuri sana huyo

    Jibu

    Sio jambo baya kumpunzisha huyu na kumpa nafasi mtu mwingine ili wote kupima uwezo wao

    Jibu

    Kipa namkubali sana

    Jibu

    Bora alivyopumzishwa tu wala simkubali ata kidogo

    Jibu

    Apumzike kdogo sio mbaya

    Jibu

    Kipa makini sana

    Jibu

    Kipa yupo vizurii

    Jibu

    Kipa bora kabisa

    Jibu

    Sio mbaya apumzike kidogo

    Jibu

    Kipa namba 1 england

    Jibu

Acha ujumbe