Thuram Akutana na Rungu kwa Kutemea Mate.

Mshambuliaji wa Borussia Monchengladbach Marcus Thuram amepigwa marufuku kucheza mechi sita na Shirikisho la Soka la Ujerumani (DFB) kwa kumtemea mate Stefan Posch wa Hoffenheim.

Thuram Akutana na Rungu kwa Kutemea Mate.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 tayari amepigwa faini ya mshahara wa mwezi mmoja na Gladbach kwa tukio hilo – lililoonekana na VAR – ambalo lilisababisha kadi nyekundu katika kupoteza kwa Jumamosi 2-1 huko Borussia-Park.

Thuram alisisitiza kuwa haikuwa kitendo cha makusudi lakini aliomba msamaha kwa Posch, Hoffenheim na wachezaji wenzake wa Gladbach, akisema “atakubali matokeo yote yatakayo amuliwa”.

DFB ilithibitisha Jumatatu kwamba Thuram atatumikia adhabu ya kukosa mechi tano katika Bundesliga na DFB-Pokal, na mchezo wa sita umesimamishwa hadi Desemba 21, 2021.

Thuram mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa, ambaye alifunga mabao manne katika mechi 20 kwenye mashindano yote kwa Gladbach msimu huu, pia ametozwa faini ya Euro 40,000.

Akizungumzia juu ya tukio hilo mwishoni mwa wiki, mkurugenzi wa michezo wa Gladbach, Max Eberl alisema:“Nilikuwa na mazungumzo marefu na Marcus asubuhi ya leo, ambapo aliomba msamaha kwangu na kwa klabu kwa mara nyingine kwa kitendo chake.


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???

SOMA ZAIDI

16 Komentara

    Iwe fundisho kali

    Jibu

    Inaitajika nidham

    Jibu

    Nidham ifate mkondo wake

    Jibu

    Iwe funzo kweri

    Jibu

    Good

    Jibu

    Amepata fundisho

    Jibu

    Ana tabia mbaya uyu

    Jibu

    Amestahili kupata adhabu hiyo iwe fundisho kwa wachezaji wengine

    Jibu

    Kiranga komo

    Jibu

    Duuuh sio powa

    Jibu

    Safi litakua fundisho

    Jibu

    Duu sio poa hiyo

    Jibu

    Thuram mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa, ambaye alifunga mabao manne katika mechi 20 kwenye mashindano yote kwa Gladbach msimu huu, pia ametozwa faini ya Euro 40,000.

    Jibu

    Utovu wa nidhamu

    Jibu

    Itakuwa fundisho

    Jibu

    Tabia mbaya sana afungiwe tu

    Jibu

Acha ujumbe