Bundesliga - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Bartra: Bundesliga Ilikuwa ni Elimu.

Bundesliga

Nyota wa Real Betis Marc Bartra anaamini elimu aliyo ipata Bundesliga ilimsaidia kupeleka soka lake katika kiwango kikubwa. Bartra mwenye umri wa miaka 29, alijifunza biashara yake alikuwa katika akademi …

Matokeo ya Mechi Bundesliga

Bundesliga

Bayer Leverkusen v Schlake 04 Bayer Leverkusen wamelazimishwa sare ya 1-1 na wachovu Schalke 04. Matokeo hayo yanawafanya Leverkusen wafikishe alama 57 huku wakiwa nafasi ya nne katika msimamo wa …

Bundesliga: Vikosi vya Jumapili

Bundesliga

Weston McKennie anarejea tena uwanjani mara baada ya kumaliza kutumikia kifungo chake kwa Schalke wakati wakiwakaribisha mahasimu wao, Bayer Leverkusen kwenye gemu ya mwisho ya Mechidei ya 31. Meridianbet.co.tz inaangalia …

Bundesliga: Vikosi Tarajiwa Leo

Bundesliga

Erling Haaland alipumzishwa kwenye gemu ya Borussia Dortmund waliyoshinda 6-1 wakiwateketeza akina Paderborn kwa sababu ya kuwa na majeraha ya goti. Atarejea tena uwanjani wakati wakienda kuumana na Hertha Berlin? …

Mkeka: Kunani Leo Bundesliga?

Bundesliga

Klabu ya soka ya Borussia Monchengladbach ni moja ya klabu kubwa sana kule Ujerumani na ilianzishwa mwaka 1900 huko West Germany. Kwa sasa klabu hiyo inashiriki ligi kuu ya nchini …

Bundesliga Kumenoga

Bundesliga

Ligi Kuu ya Ujerumani, Bundesliga leo kuna mechi mbili, mechi ya mapema itapigwa pale Borussia-Park (Mönchengladbach) majira ya saa10:30 na nyingine itapigwa Benteler Arena (Paderborn) saa 1:00 usiku. 1. B. …

Muda wa Bundesliga, Vikosi vya Jumatano

Bundesliga

Mchezaji Thiago Alcantara hakuwemo wakati klabu ya soka ya Bayern Munich inaumana na mahasimu wao wa jadi, Borussia Dortmund kwenye Der Klassiker. Meridianbet inaangalia nani atakuwemo na nani hatokuwemo katika …

Bundesliga Kinawaka Leo!

Bundesliga

Ligi ya Ujerumani inapigwa leo kwa mechi tatu, ikumbukwe kuwa Ligi ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga ndio Ligi pekee ya Barani Ulaya iliyorejea mapema ukiachana na Ligi zingine zilizomalizika kama …

1 2 3 4 5 40 41 42