Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 

Tetesi zinasema, Kocha Mkuu wa Italia na kocha wa zamani wa Manchester City Roberto Mancini ameibuka kuwa mgombea wa kuteuliwa kuwa meneja wa Manchester United msimu ujao wa joto.

Tetesi zinasema, Barcelona wameipa Manchester United fursa ya kumsajili winga wa Brazil Philippe Coutinho, 29.

Tetesi zinasema, Real Madrid wana matumaini kuhusu nafasi yao ya kumsajili beki wa kati wa Chelsea na Ujerumani Antonio Rudiger, 28.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Barcelona wana makubaliano kamili ya kumsajili mshambuliaji wa Manchester City na Uhispania Ferran Torres, 21, lakini wanatumai watapunguza bei wanayohitaji ya pauni milioni 60.

Tetesi zinasema, Chelsea na Liverpool wote wanatazamia kumnunua mlinzi wa Barcelona mwenye umri wa miaka 22 na Uruguay Ronald Araujo.

Tetesi zinasema, Ajax wanataka kumsajili mshambuliaji wa Tottenham na Uholanzi Steven Bergwijn, 24, kwa mkopo.

Mshambulizi wa Flamengo na Brazil Gabriel Barbosa anataka kurejea Ulaya huku Arsenal, West Ham na Newcastle wakimtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 ambaye aliwahi kuchezea Inter Milan na Benfica.

 

Juventus wakiwa wamejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha kumsajili kiungo wa kati wa Monaco na Ufaransa Aurelien Tchouameni, 21. Chelsea wabaki na nafasi kubwa ya kumsajili.

Manchester City wameongeza juhudi zao za kuongeza mkataba wa mlinzi wa Algeria Riyad Mahrez, 30, ambaye amebakia na miezi 18 katika mkataba wake wa sasa.

Tetesi zinasema, Burnley haitamruhusu mlinzi wa Uingereza James Tarkowski, 29, kuondoka mwezi Januari.


MUDA WA KUJIACHIA NA CARNAVAL JACKPOT

Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe