Klabu ya Manchester United inajiandaa kufanya marekebisho wa uwanja wake wa Old Trafford na tayari tenda ya kujenga uwanja huo imeshapawa kampuni ambayo iliujenga uwanja wa klabu ya Tottenham Hotspur.

Kampuni ya Architect firm Populous and management consultants Legends International ndiyo iliyopewa kazi ya upanuzi wa uwanja huo ambao kwa sasa unauwezo wa kuingiza watazamaji74,000.

Manchester United, Manchester United Kufanya Maboresho ya Uwanja wa Old Trafford, Meridianbet

“Kazi itaanza haraka iwezekanavyo ya kuuboresha uwanja wa Old Trafford na upembuzi yakinifu tayari umekwisha aanza kwa kusudi la kuboresha maeneo ya watazamaji.” Waraka ulisomeka hivyo kwenye mtandao wa klabu hiyo.

Mashabiki watakuwa ni kitovucha mchakato, kwanza tutaanza na kufanya mkutano kati ya consultants na muwakilishi wa bodi ya ushauri ya mashabiki baadae mwezi huu.

Mwenzi uliopita kulikuwa na taarifa ya kuwa klabu ya Manchester united walikuwa wanafikilia njia mbalimbali za kufanya mabolesho ya uwanja huo, ikiwemo ya kuubomoa uwanja wote na kuujenga uwanja mpya.

Majukwaa matatu ya uwanja wa Old Trafford yamefanyiwa maboresho ndani ya miaka thelathini, lakini jukwaa la kusini halikufaniwa maboresho kutokana na kuwa karibu na njia ya treni.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa