Brentford Wapanda EPL Baada Ya Miaka 74

Hatimaye orodha ya timu zikatazoshiriki EPL msimu wa 2021/2022 imekamilika huku Brentford FC wakikamilisha orodha hiyo kwa kushinda mechi ya Playoff na sasa wanafanikiwa kuingia EPL baada ya miaka 74!

Brentford ilikuwa ya kwanza kufunga magoli ya awali dhidi ya vijana 10 wa Swansea huku wakiungana na wenzao Watford na Norwich kuingia kwenye ligi kuu ya Uingereza, ambapo mara ya mwisho kuingia ilikuwa mwaka 1947.

Ivan Toney alikuwa wa kwanza kufunga penati dakika ya 10 baada ya kipa wa Swansea kucheza faulo kwa Bryan Mbeumo ndani ya box.

Dakika 10 baadae Emiliano Marcondes wa Brentford aliongeza goli la pili baada ya kupokea pasi nzuri kutoka kwa Rasmussen ambapo alimalizia kwenye eneo la chini la kona.

Brentford alipoteza dhidi yaa Fulham katika fainali ya mchujo ya mwaka jana Agosti iliyopita. Swansea ilicheza mara ya mwisho kwenye Ligi Kuu msimu wa 2017-18.

BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

2 Komentara

    Ongera yao

    Jibu

    Mambo ni moto

    Jibu

Acha ujumbe