Mchezaji nyota wa kikapu na timu ya Los Angeles Lakers King LeBron James atakusokena kwenye mchezo wa fainali ya pili msimu huu kwa sababu ya majeraha ya ankle timu yake imetangaza leo.
King LeBron James amekosa michezo mitano ya Los Angeles Lakers kwenye michezo sita iliyopita tangu amepata majeraha yake ya ankle ya kushoto kwenye mchezo dhidi ya New Orleans Pelicans machi 27.
King LeBron James atamaliza msimu huu akiwa na wastani wa pointi 30.3, kwa sasa King James anashika nafasi ya pili kwenye ligi akiwa nyuma ya Joel Embiid wa Philadelphia 76ers akiwa na pointi 30.4 kwenye michezo 56.
Joel Embiid anaweza kuushinda taji la mfunagaji bora msimu kwa sababu King James hataweza kumaliza msimu na kanuni za mashindano zinata mfungaji bora awe ameshiriki angalau michezo 58.
Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.