Kocha mkuu wa Barcelona, Ronaldo Koeman huenda anaweza kuikosa huduma ya nyota wake Lionel Messi raia wa Argentina kwenye mechi tatu za La Liga ikiwa nyota atakwenda kwenye majukumu ya Taifa mwezi ujao.
Miongoni mwa mchezo ambao unampasua kichwa Kocha Mkuu wa Barcelona, Koeman ni pamoja na ule utakaowakutanisha dhidi ya Real Madrid maarufu kama El Clasico kwa mwezi Oktoba.
Ratiba inaonyesha kuwa mechi za timu ya Taifa ya Argentina kutafuta tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia 2022 itakuwa ni Oktoba 8 ambapo itacheza na Ecoador na Oktoba 13 dhidi ya Bolivia.

Kwa mujibu wa kanuni nchini Hispania kwa sasa ni lazima kwa kila mmoja anayetoka Kusini mwa America lazima akae karantini kwa muda wa siku 14 hivyo kwa wakati huo Messi atakuwa hana namna ya kucheza mechi za La Liga.
Anaweza kukosa mechi dhidi ya Getafe na Alaves pia na kwa namna ratiba ilivyo anaweza kuikosa mechi kali dhidi ya Real Madrid maarufu kama El Clasico.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Povel
Litakuwah pigo kubwa sana kukosa nahodha wao
magdalena
duh apo kazi ipo lakini ni muhimu messi kushiriki mashindano ya ligi ya taifa watabidi watafute mbadala
Khadija
Messi namkubali#meridianbettz
Nasra
Messi mtu muhimu
Genia Sikaluzwe
Messi ni fundi wa mpira
Shani
Ni kiungo muhimu sasa ni uhamuzi tu kwn lazima awe sehemu mmoja wapo tu
Mwanahamisi
Litakuwa pigo kubwa sana
Dorophina
Nahodha amekosekana haina jinsi inabidi kutafuta mtu ambaye ataweza kukava nafasi ya Messi inavyotakiwa
Sauda
Pengo lisilozibika
Njiku
Bonge la pendo kwa barca maana bila Messi hamna timu dah
Antony Luseno
Barca inabidi watengeneze timu kwa kutogemea wachezaji wa kila siku ambao wakipata dharura timu inayumba
Lydia Emmanuel Magoti
Duu pale anapo cheza Messi nafasi hile ataikava nani simtiani huo Barcelona inatakiwa awe nakikosi chaumakini kisicho mtegemea Messi
Fatina mfingi
Mmh litakuwa pigo kubwa kwao!!
Elika
Sio mbaya hata huko aendako kuna majukumu vile vile ya taifa lake
Zeiyana
Barcelona kwa sasa watengeneze wa chezaji wenye uwenzo ili waache kumfikilia mchezaji mmoja tu si ivyo wanaweza kulamba galasa ligi msimu huu
Caroline
Dah mbona kazi wanayo.wacheze mpira bila Messi
Tatu
Koemani itabidi aunge kikosi kingine bila ya kumtegemea mess
Mwajumah
Messi ni fundi bhana wa mpira#Meridianbettz
Ernest
Pigo kubwa lakini Griezman na vijana wengine watafunika Pengo kabisa
Samira
Pigo kubwa kwa timu hili
Saupha mohamed
Messi fundi
Hopemwaikuka
Messi ni nomaa
Gabriel
Mess ameanza na Moto 🔥🔥 🔥🔥
Fatuma kasomo
Bar wamepata pengo
Janeflora malisa
Yupo vzr mess
Issa
Mmh sasa radha itakuwa wap barca inawez isiingiz timu
Salma ngende
Yupo vizuri
Sabrina
Duh timu itafanya vizuri kweli maana timu bado haijatengemaa vizuri
Angelina
Messi akiondoka barcelona ni pengo kubwa
Amiri Kayera
El crassico aitavutia
felister
litakuwa pigo kubwa sana kwa timu