Huenda Mayweather Akachapana na Money Kicks, Dubai

Bingwa dunia wa zamani wa uzito wa kati Floyd Mayweather anafikiria kurudi tena ulingoni, kumenyana na MwanaYouTube, Money Kicks.

Bingwa dunia wa zamani wa uzito wa kati Floyd Mayweather anafikiria kurudi tena ulingoni, kumenyana na MwanaYouTube, Money Kicks

Licha ya kukaribia kutimiza miaka 45, Mayweather Jr ameonyesha hamu ya kukutana na nyota mwingine wa mitandao ya kijamii baada ya pambano lake na Logan Paul, ambalo lilimuingizia pesa nyingi na kumuweka kwenye hatari sifuri kabisa ya kimwili.

Money Kicks, jina halisi, Rashed Belhasa, ni mtayarishaji wa maudhui anayeishi Dubai, amezungumza kuhusu pambano hilo ambalo lingefanyika nchini mwake kama ikitokea.

“Sijawahi kufikiria ningepigana na Floyd, yeye ndiye bora zaidi,” Belhasa aliiambia Sky Sports.

“Mimi ni mrefu kuliko yeye, huwezi jua, ngumi yoyote inaweza kumpiga na nina mikono mizito.

“Mayweather ana kasi sana, nahitaji kuwa karibu na kwenda naye sawa, nilikua na simba kwa hiyo simuogopi binadamu yeyote, sitamuogopa binadamu mwingine kamwe.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe