Golovkin Anatoka kwa Murata?

Gennady Golovkin anatarajia kuchapana na Ryota Muarata siku ya Jumamosi April 9 baada ya kusubiri kwa muda mrefu moja ya pambano kali kwa mwaka 2022.

GGG  ametimiza umri wa miaka 40 Ijumaa ya leo akiwa anashikilia mkanda wa Dunia wa IBF anaenda kukabiliana na bingwa wa sasa wa WBA Murata ambaye hajapigana tangu 2019 huku Golovkin akiwa hajapigana tangu 2020 baada ya kumchapa Szeremeta

Pambano kati ya Golovkin na mshindi wa medali ya dhahabu wa Japan huko London 2012 litafanyika huko Saitama, Japan, ambayo ni nchi ya Murata. Golovkin amemsifu mpinzani wake ajaye na kueleza furaha yake kwa kusafiri kwenda Japan kumenyana na Murata.

“Niliwahi kwenda Japan nina papenda sana.” aliongeza “Murata ni mpiganaji mgumu snani mshindi wa meali ya dhahabu ya mwaka 2012 ya Olimpiki nina amini litakula pambano kali.

Golovkin atahitaji ushindi pekee iliaweze kuchapana na Canelo katika pambano lao la tatu na GGG alidai Canelo amesubiri mpka amakuwa mtu mzima sana ili kurudiana naye.

BASHIRI PAMBANO HAPA


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

Acha ujumbe