Mayweather Amtahadharisha Spence Dhidi ya Pacquiao

Floyd Mayweather amemsihi Enrrol Spence Jr.  kuwa makini pale atakapo kabiliana na Manny Pacquiao katika pambano lao la mwezi Agosti 21 mwaka huu.

Mayweather Amtahadharisha Spence Dhidi ya Pacquiao

Pacquiao hajapigana tanghu mwaka 2019 na kwa sasa bondia huyo wa kilifipino ana umri wa miaka 42.

“Bado ni mtu hatari sana ,”Maywetaher alisema .

“Lolote linaweza kutokea kwenye pambano hilo na Manny Pacquiaohajacheza muda mrefu amepumzika muda mwingi,” aliongeza Teofimo Lopez.

“Nawependa wote kwenye pambano hilo, na inaweza kuwa bondia mzuri ndio atakaye shinda,kabisa,.”

Mayweather Amtahadharisha Spence Dhidi ya Pacquiao

Mayweather aliampiga Pacquiao kwa raundi 12 mwezi Mei 2015 kumaliza mjadala ambao ulikuwa umeendelea kwa miaka mingi

Spence na Manny Pacquiao itaunganisha mgawanyiko wa uzani wa uzito wa dunia wakati watakapokutana huko Las Vegas mwezi Agosti.


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

4 Komentara

  Ngoja tuone

  Jibu

  Mayweather yupo sahihi pacquiao sio mtu wa mchezo

  Jibu

  Pambano litakuwa balaa

  Jibu

  Tunasubiri tuone

  Jibu

Acha ujumbe