Shirikisho la soka Ulimenguni FIFA limetoa orodha ya wanasoka 11 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Dunia 2020,
Tuzo hiyo itatolewa Disemba 17, 2020 sambamba na tuzo ya kocha bora, wa kike na wakiume, golikipa bora na goli bora la mwaka.
Katika Orodha hiyo mabingwa wa England klabu ya Liverpool imeongoza kwa kutoa wachezaji wengi kwenye orodha hiyo imetoa wachechezaji 4, ambao ni Thiago Alcântara , Sadio Mané, Mohamed Salah, na Virgil van Dijk.

Wachezaji wengine wanao wania tuzo hiyo ni Cristiano Ronaldo, Kevin De Bruyne, Robert Lewandowski, Kylian Mbappé, Lionel Messi, Neymar, na Sergio Ramos .
Mwaka jana 2019 tuzo hii alishinda mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi.

Wanao wania tuzo ya Kocha bora ni.
Marcelo Bielsa wa Leeds United FC, Hans- Flick wa FC Bayern München, Jürgen Klopp Liverpool FC, Julen Lopetegui wa Sevilla FC na Zinedine Zidane waReal Madrid CF.

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.



Issa
Lewandoski itamuhusu hii tuzo
magdalena
salah nina imani anaweza akapata
Rahma
Lionel mes atapata iyo tuzo
Shakila mrope
Mm nadhani hansflick atachukuwa iyo tunzo
Adelta
Lewandosk wakijitahidi wanaweza kushinda Tuzo
Ester jackson
Habari bora sana hiii
Sauda
Lewandoski atachukua tuzo
Dorophina
Habari njema sana hii naisubilia kwa hamu nani atanyakua tunzo hizi
Fatina mfingi
Makal iko vizur sanaa
Tatu
Sina wasiwasi na sadio mane na salaa Liverpool wanavifaa
Lydia Emmanuel Magoti
Mimi nao Kama itamusu Lewandowski amefanya kaz Sana jamaa
Samira
Mi naona sadio mane anastahili hii tuzo anajituma sana
Saupha mohamed
Mambo motoooo sasa
Hopemwaikuka
Nasubr mshindi
Tahiya
Mchuano ni makali
warda
Mie bado nampa CR7 big five
Chiku
Mambo fireeee