Breaking News: Diego Maradona Aaga Dunia.

Habari kutoka vyombo mbalimbali vya michezo nchini Argentina vimethibitisha Legendi wa Soka Diego Armado Maradona amefariki dunia akiwa na miaka 60.

Mshindi huyo wa kombe la dunia mwaka 1986 alipata tatizo la shambulio la Moyo (Cardiac Arrest) alipokuwa nyumbani kwa mapumziko baada ya kufanyiwa oparesheni ya kuondoa damu iliyoganda kwenye ubongo.

Maradona aliruhusiwa kutoka hospitali November 11 siku 8 baada ya kukubali kufanyiwa operesheni ya ubongo.

Taarifa hizo za kusikitisha zimetolewa na Mwanasheria wake muda mchache baada ya habari hizo za kusikitisha kutokea.

Mchezaji huyo wa zamani wa Boca Juniors, Barcelona na Napoli anachukuliwa kama mmoja wa wachezaji bora kuwahi kucheza Soka.


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

20 Komentara

    Rest in peace Diego maradona daim tutaendelea kukumbuka kwa mchango wako.

    Jibu

    pumzika kwa amani legend

    Jibu

    R.l.p apumzike kwa aman

    Jibu

    Pumzika kwa amani

    Jibu

    Tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi
    Pumzika kwa amani 😭😭

    Jibu

    Sote tutarudi mavumbili pumzika kwa amani

    Jibu

    Ri p almando diego maradona

    Jibu

    R.I.P Maradona

    Jibu

    Rip maradona pumzika kwa amani

    Jibu

    Apumzike kwa amani

    Jibu

    Mungu mraze mahara pema peponi maradona

    Jibu

    Pumzika kwa amani Diego Maradona

    Jibu

    Pumzika kwa amani maradona

    Jibu

    Apumzike kwa amani

    Jibu

    R.I.p apumzike kwa amani

    Jibu

    Pumzika kwa amani

    Jibu

    Rest well legend

    Jibu

    Pumzika kwa amani mwamba

    Jibu

    Punzika kwa amani

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.