Makala nyingine
Makala mpya
Silver Strikers Watamba Kuwamaliza Yanga
Wapinzani wa Yanga SC, Silver Strikers wameanza kiburi mapema kuelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga SC, Oktoba 25,2025. Yanga SC wanakibarua cha kusaka angalau ushindi …
Yanga Presha Kubwa Kuelekea Kufuzu Makundi
Inaelezwa viongozi wa Yanga wamekuwa na presha kubwa kuelekea kwenye mechi yao ya kesho dhidi ya Sliver Strikers wakiwa na uhakika mdogo wa kama watafuzu kwenda hatua ya makundi ya …
Simba Wameanza Kuwapigia Hesabu Al Ahly
Klabu ya Simba ni kama tayari imejithibitishia kuwa itakwenda kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na tayari wameanza kuota ni mpinzani gani wanataka kucheza naye, baada ya …
IBENGE ANATAKA KUWA KOCHA WA KUKUMBUKWA AZAM FC
Hesabu za Kocha Mkuu wa Azam FC raia wa DR Congo, Florent Ibenge ni kutengeneza hadithi tamu na ya kukumbukwa daima ndani ya timu hiyo kutoka mitaa ya Chamanzi. Ibenge …
ISHU YA KOCHA MPYA YANGA, MABOSI WAPATA KIGUGUMIZI
Ukipiga simu kwenye uongozi wa klabu ya Yanga kuuliza nini mustakabali wao juu ya nani atakuwa kocha mkuu ajaye baada ya Roman Folz kuondoka, utachoambulia ni kuwa mchakato unaendelea na …
Yanga Vitani Leo Caf Champions League Nchini Malawi
Wawakilishi wa Tanzania katika anga la Kimataifa Yanga, wanatarajia kutupa karata yao ya kwanza leo kwenye ardhi ya Malawi kusaka nafasi ya kwenda hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa …
Neo Maema & De De Reuck Wabebeshwa Mzigo Eswatin
Klabu ya Simba ipo kwenye maandalizi ya mwisho kabla ya kutupa karata yao ya kwanza wakiwa ugenini dhidi ya Nsingizini Hotspurs ya Eswatin, huku nyota wawili raia wa Afrika Kusini, …
Tshabalala, Mzize Waongeza Mzuka Yanga
Kuelekea mchezo wa CAF Champions League kati ya Yanga SC dhidi Silver Strikers FC unaotarajiwa kuchezwa jioni ya leo nchini Malawi, Yanga wameendelea kuimarika zaidi baada ya wachezaji wake Clement …
Fountain Gate Kutambulisha Wachezaji Wake Kesho
Klabu ya Fountain Gate kesho Jumapili, itafanya tamasha ndogo la kutambulisha wachezaji wake wapya watakaotumika msimu huu. Tamasha hilo lililopewa jina la Tanzanite Day, litafanyika kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, uliopo …
Ali Hassan Mwinyi Wafunguliwa Na TFF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza rasmi kufunguliwa kwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi uliopo Tabora, baada ya kukamilika kwa marekebisho yaliyokidhi vigezo vya kikanuni na sheria za …


