Makala nyingine
Makala mpya
Kocha wa Italia Spalletti Alikuwa na Mzozo na De Laurentiis
Kocha wa Italia, Luciano Spalletti, anakiri kuwa alikuwa na “uhusiano wa kutatanisha” na Rais wa Napoli, Aurelio De Laurentiis, lakini atasalia kuwa “rafiki mkubwa” wa Francesco Totti. Spalletti alizungumza kwa …
Derby Ya Kariakoo Rasmi Kupigwa Juni 15
Hatimaye Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepanga mechi ya mzunguko wa pili ya Ligi Kuu ya mchezo baina ya Yanga na Simba βKariakoo Derbyβ ambao unatarajiwa kuchezwa Jumapili Juni …
Barcelona Yathibitisha Urejeo wa Lewandowski
Barcelona wamethibitisha kuwa Robert Lewandowski atakuwa sehemu ya kikosi kitakachosafiri kwa ajili ya mechi ya marudiano ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Inter Milan kwenye uwanja wa …
McTominay Aipeleka Napoli Kileleni SERIE A
Bao la Scott McTominay dhidi ya Torino liliruhusu Napoli kurejea kileleni kwenye msimamo wa Serie A huku kukiwa na mechi nne zilizobaki, na McTominay alisherehekea mafanikio hayo na ishara ya …
SAKATA LA CHAMA KUONDOKA YANGA IPO HIVI
Kiungo mahiri wa Klabu ya Yanga, Clatous Chama, bado hajajua hatma yake ya kuendelea kusalia Jangwani kwa msimu ujao wa 2025/26, huku suala hilo likielekezwa moja kwa moja mikononi mwa …
Ancelotti Kuondoka Madrid Mwisho wa Msimu Huu
Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti anatarajiwa kuondoka kwenye klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Carlo Ancelotti alirejea kwenye kikosi cha Real kwa mara ya pili na anatarajiwa kuachana na …
SIMBA YATINGA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO
Sare ya bila kufungana dhidi ya Stellenbosch ugenini kwenye Uwanja wa Moses Mabhida, Durban Afrika Kusini leo Aprili 27, 2025 imeivusha Simba kwenda hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho …
Liverpool Mabingwa Wapya wa EPL 2024/25
Liverpool wamechukua ubingwa wa EPL kwa mtindo wa kipekee baada ya kuja kutoka nyuma na kuwatandika Tottenham 5-1 kwenye uwanja wa Anfield. Magoli ya kipindi cha kwanza kutoka kwa Luis …
Braida: “Barcelona Wanapigika”
Mkurugenzi wa zamani wa Barcelona na Milan, Ariedo Braida, anaamini kuwa Inter wanaweza kufika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. βBarcelona wanapigika,β amesema. Tumeingia katika hatua ya nne bora ya …
Ancelotti Anaweza Kuiongoza Brazil Katika Mechi za Kufuzu WC June 2
Ripoti kutoka Hispania zinaonyesha kuwa Carlo Ancelotti huenda akawa kocha wa Brazil kwa ajili ya mechi za kufuzu Kombe la Dunia mwezi Juni, huku Real Madrid tayari wakiwa wamempanga Xabi …