Makala mpya

Pochettino Akerwa Kuulizwa Hatma Yake Chelsea
Daily News

Kocha wa klabu ya soka ya Chelsea Mauricio Pochettino ameoneshwa kuchukizwa na maswali ya hatma yake ndani ya klabu hiyo na kua huenda akaondoka ndani ya timu hiyo mwishoni mwa …

Soma zaidi
Ten Hag Kumbe Alimtaka De Jong Acheze na Casemiro
Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag leo amefunguka kua ni kweli alimuhitaji kiungo wa klabu ya Barcelona aje klabuni hapo pamoja na kiungo Carlos Casemiro kutoka klabu …

Soma zaidi
SIMBA NA AZAM JOTO LIKO JUU KUELEKEA MCHEZO WAO
SOKA LA BONGO

ULE mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki Bongo Mzizima Dabi kati ya Simba dhidi ya Azam Fc umepangiwa tarehe na sasa siku zinahesabika kufika muda wa wababe wawili kusaka …

Soma zaidi
AZAM FC WANATAMBA NAMUNGO NAO WANATAMBA
SOKA LA BONGO

MATAJIRI wa Dar Azam FC leo Mei 3, 2024 wanakibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa CRDB Federation dhidi ya Namungo FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex …

Soma zaidi
AHMED ALLY: SIMBA NDO TIMU YENYE WACHEZAJI BORA ZAIDI
SOKA LA BONGO

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally, ametoa kauli ya kibabe, akisema timu ndiyo yenye wachezaji bora kuliko timu yoyote nchi hii. Kauli hiyo inakuja baada ya uvumi …

Soma zaidi
AZAM WANASHUSHA MAJEMBE TU
SOKA LA BONGO

KLABU ya Azam imefikia makubaliano na klabu ya Stade Malien (Mali) kumsajili kiungo mshambuliaji, Franck Tiesse. kwa mkataba wa miaka miwili kuanzia msimu ujao wa 2024-25. Tiesse (26) anayesifika kwa …

Soma zaidi
SIMBA BADO WANAPATA TABU
SOKA LA BONGO

NAMUNGO walikomba pointi moja mbele ya Simba kwa sare ya kufungana mabao 2-2 mchezo wa mzunguko wa pili, Uwanja wa Majaliwa Jana usiku. Licha ya Simba kuanza kufunga kila kipindi …

Soma zaidi
MTIBWA SUGAR WANAHITAJI MAOMBI
SOKA LA BONGO

NDANI ya msimu wa 2023/24 yamekuwa ni mapito magumu kwa Mtibwa Sugar inayopambana kubaki ndani ya ligi kwa kusaka matokeo katika mechi zilizobaki. Sio nyumbani wala ugenini hali haijawa nzuri …

Soma zaidi
SIMBA NA YANGA WANAWACHANGIA TFF
SOKA LA BONGO

KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu nchini imezitoza faini Simba na Yanga kutokana na kosa la kuingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kupitia milango …

Soma zaidi
SIMBA KUIFUATA KAGERA KINYONGE
SOKA LA BONGO

BAADA ya kugawana pointi mojamoja dhidi ya Namungo, Uwanja wa Majaliwa kete inayofuata kwa Simba ni dhidi ya Mtibwa Sugar. Chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda akishirikiana na Seleman Matola …

Soma zaidi
1 2 3 4 2,042 2,043 2,044