This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Makala nyingine
Makala mpya
Lukaku Yuko Tayari Kuichezea Roma Mara ya Mwisho Kabla ya Kurejea Chelsea
Romelu Lukaku atacheza mechi yake ya mwisho akiwa na Roma kwenye Uwanja wa Stadio Olimpico wikendi huku akijiandaa kurejea Chelsea msimu huu wa joto. Mshambuliaji huyo wa Ubelgiji mwenye umri …
Napoli Inamfukuzia Gasperini wa Atalanta
Napoli wameripotiwa kuwasiliana na kocha wa Atalanta Gian Piero Gasperini siku ya Alhamisi, kuhusu uteuzi unaowezekana kama mrithi wa kocha wa sasa wa Partenopei Francesco Calzona, kulingana na kulingana na …
Simba Ugenini Leo Dhidi ya Dodoma Jiji
Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja wa Simba ambaye atakuwa ugenini leo dhidi ya Dodoma Jiji kutoka Dodoma, mchezo ambao utapigwa majira ya saa 10:00 …
YANGA YAFUNGUKA ALICHOJIFUNZA C.E.O TP MAZEMBE
BAADA ya mijadala kuwa Mingi juju ya nini kimemfanya C.E.O wa TP Mazembe Fredric Kitengie aje kujifunza kutoka Yanga, licha ya kuwa Mazembe wameizidi Yanga Kila kitu, uongozi wa Klabu …
MGUNDA, MATOLA WAIPIGIA HESABU KALI DODOMA JIJI
BENCHI la ufundi la Simba likiongozwa na kocha Juma Mgunda na Suleiman Matola limebainisha kuwa maandalizi yanaanza kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, …
TABORA UNITED YAINGIA KAMBINI KUMALIZIA MSIMU
Kikosi cha Timu ya Tabora United leo kimeanza maandalizi kwa ajili ya michezo mitatu iliyosalia Ligi Kuu ya NBC Soka Tanzania Bara kabla ya kumalizika kwa msimu wa 2023/2024. Mei …
Man City Ugenini Leo Dhidi ya Spurs
Ligi kuu ya Uingereza EPL inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambao ni kati ya wenyeji Tottenham Hot Spurs dhidi ya Manchester City ambao ndio mabingwa watetezi wa ligi. …
Meridianbet Yaja na Huduma Mpya Mjini Kwa Kushirikiana na Golden Matrix.
“Meridianbet Yapiga hatua kwenye soko la Kimataifa na sasa habari njema kwa wateja wake ni kwamba wanaweza kuwa sehemu ya Kampuni hii kubwa ya ubashiri na michezo ya kasino kwa …
Casemiro, Gabriel Jesus, Richarlison Watemwa Brazil
Kikosi cha timu ya taifa ya Brazil ambacho kinatarajiwa kushiriki michuano ya Copa America baada mwezi wa sita kimetangazwa leo na nyota kadhaa wa kikosi hicho wakitemwa wachezaji hao ni …
Mount Kuwakosa Arsenal kwasababu ya Majeraha
Kiungo wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Uingereza Mason Mount atawakosa Arsenal katika mchezo wa jumapili utakaopigwa katika dimba la Old Trafford. Kocha wa Man United Eric …