Makala mpya

YANGA YAFUNGUKA ALICHOJIFUNZA C.E.O TP MAZEMBE
SOKA LA BONGO

BAADA ya mijadala kuwa Mingi juju ya nini kimemfanya C.E.O wa TP Mazembe Fredric Kitengie aje kujifunza kutoka Yanga, licha ya kuwa Mazembe wameizidi Yanga Kila kitu, uongozi wa Klabu …

Soma zaidi
MGUNDA, MATOLA WAIPIGIA HESABU KALI DODOMA JIJI
SOKA LA BONGO

BENCHI la ufundi la Simba likiongozwa na kocha Juma Mgunda na Suleiman Matola  limebainisha kuwa maandalizi yanaanza kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, …

Soma zaidi
TABORA UNITED YAINGIA KAMBINI KUMALIZIA MSIMU
SOKA LA BONGO

Kikosi cha Timu ya Tabora United leo kimeanza maandalizi kwa ajili ya michezo mitatu iliyosalia Ligi Kuu ya NBC Soka Tanzania Bara kabla ya kumalizika kwa msimu wa 2023/2024. Mei …

Soma zaidi
Man City Ugenini Leo Dhidi ya Spurs
Daily News

Ligi kuu ya Uingereza EPL inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambao ni kati ya wenyeji Tottenham Hot Spurs dhidi ya Manchester City ambao ndio mabingwa watetezi wa ligi. …

Soma zaidi
Meridianbet Yaja na Huduma Mpya Mjini Kwa Kushirikiana na Golden Matrix.
Meridianbet

“Meridianbet Yapiga hatua kwenye soko la Kimataifa na sasa habari njema kwa wateja wake ni kwamba wanaweza kuwa sehemu ya Kampuni hii kubwa ya ubashiri na michezo ya kasino kwa …

Soma zaidi
Casemiro, Gabriel Jesus, Richarlison Watemwa Brazil
Daily News

Kikosi cha timu ya taifa ya Brazil ambacho kinatarajiwa kushiriki michuano ya Copa America baada mwezi wa sita kimetangazwa leo na nyota kadhaa wa kikosi hicho wakitemwa wachezaji hao ni  …

Soma zaidi
Mount Kuwakosa Arsenal kwasababu ya Majeraha
Daily News

Kiungo wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Uingereza Mason Mount atawakosa Arsenal katika mchezo wa jumapili utakaopigwa katika dimba la Old Trafford. Kocha wa Man United Eric …

Soma zaidi
AYOUB LAKRED SHUJAA ASIYEIMBWA SIMBA
SOKA LA BONGO

KIPA wa Simba, Ayoub Lakred rekodi zinaonyesha kwamba ni mechi 14 ameanza langoni msimu wa 2023/24 akiwa na uzi wa timu hiyo yenye maskani Msimbazi. Kwenye mechi hizo amekomba dakika …

Soma zaidi
LYANGA AINGIA KWENYE RADA ZA YANGA
SOKA LA BONGO

MKALI kutoka kwa matajiri wa Dar, Ayoub Lyanga anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa mitaa ya Jangwani, Yanga kwa ajili ya kupata changamoto mpya. Ipo wazi kuwa nyota huyo …

Soma zaidi
MGUNDA MFALME DABI YA MZIZIMA
SOKA LA BONGO

KOCHA wa muda ndani ya Simba SC Juma Mgunda, alimaliza mchezo wa Dabi ya Mzizma dhidi ya Azam FC akiwa Mfalme na Boli likitembea kweli kweli. Azam FC wamepoteza pointi …

Soma zaidi
1 2 3 4 2,045 2,046 2,047