Makala mpya

Guardiola na Arteta Kuchuana Kocha bora wa Msimu
Daily News

Tuzo ya kocha bora msimu kunako ligi kuu ya Uingereza itawaniwa na makocha watano, Lakini mchuano mkali unatarajiwa kua baina ya makocha wawili ambao ni Pep Guardiola na Mikel Arteta. …

Soma zaidi
Haaland Kuwania Tuzo ya pili ya Mchezaji Bora
Daily News

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester City Earling Haaland kuwania mchezaji bora wa msimu wa ligi kuu ya Uingereza kwa msimu wa pili mfululizo. Mshambuliaji Haaland hatakua mwenyewe kwenye kinyang’anyiro hicho …

Soma zaidi
Real Madrid Vs Bayern Munich Bernabeu Yamoto leo
Champions League

Leo inapigwa nusu fainali ya pili ya ligi ya mabingwa barani ulaya pale kwenye dimba la Santiago Bernabeu kati ya mabingwa wa ligi kuu ya Hispania klabu ya Real Madrid …

Soma zaidi
Tuchel Bado Anaipenda Chelsea
Daily News

Kocha wa klabu ya Bayern Munich ambaye amewahi kuifundisha klabu ya Chelsea Thomas Tuchel ameonesha wazi mahaba yake juu ya klabu yake hiyo ya zamani aliyoitumikia kwa mafanikio. Tuchel alipoulizwa …

Soma zaidi
JUMA MGUNDA ANAPIGA KAZI YA MAANA KABISA SIMBA
SOKA LA BONGO

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba katika mechi tatu ambazo ni dakika 270 ameshuhudia timu hiyo ikiambulia sare moja, ikishinda mechi mbili. Ni dakika za moto uwanjani kutokana na wachezaji …

Soma zaidi
YANGA WANA KAZI NA KAGERA SUGAR
SOKA LA BONGO

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi wanatarajiwa kumenyana na Kagera Sugar, Uwanja wa Mkapa. Ipo wazi kuwa Yanga haijapoteza mchezo wowote msimu wa …

Soma zaidi
HUU HAPA MWENDO WA KIBU DENIS LIGI KUU
SOKA LA BONGO

MWAMBA Kibu Denis ndani ya kikosi cha Simba ni chaguo la kwanza kutokana na uwezo wake alionao katika kutimiza majukumu yake. Kwenye Ligi Kuu Bara amecheza jumla ya mechi 19 …

Soma zaidi
Greenwood Huenda Akasalia Getafe
Daily News

Winga wa klabu ya Manchester United na raia wa kimataifa wa Uingereza Mason Greenwood inaelezwa huenda akaendelea kukipiga ndani ya klabu ya Getafe kwa mwaka mwingine. Ameyazungumza hayo rais wa …

Soma zaidi
Thiago Silva Arejea Nyumbani Fluminese
Daily News

Beki raia wa Brazil anayekipiga katika klabu ya Chelsea Thiago Silva amerejea rasmi katika klabu yake aliyoanzia maisha ya soka ya nchini kwao Brazil klabu ya Fluminese baada ya kumaliza …

Soma zaidi
HESABU ZA UBINGWA YANGA KUENDELEA KESHO CHAMAZI
SOKA LA BONGO

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga baada ya kukomba pointi tatu dhidi ya Mashujaa wamerejea Dar kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera …

Soma zaidi
1 2 3 4 2,044 2,045 2,046