Makala mpya

Maguire Nje Wiki Tatu
Daily News

Beki wa klabu ya Manchester United Harry Maguire inaelezwa amepata majeraha ya misuli ambayo yatamueka nje ya uwanja kwa muda wa wiki tatu na kuelezwa anaweza kurejeas kwenye mchezo wa …

Soma zaidi
David Moyes Kutimka Westham
Daily News

Kocha wa zamani wa Manchester United David Moyes ambaye anafundisha klabu ya Westham United kwasasa anatarajiwa kutimka ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Klabu ya Westham mpaka sasa …

Soma zaidi
Chelsea Yajipigia Westham Mkono
Daily News

Klabu ya Chelsea imetakata ikiwa katika dimba lao la Stamford Bridge baada ya kuibamiza klabu ya Westham United kwa jumla ya mabao matano kwa bila katika mchezo wa ligi kuu …

Soma zaidi
Borussia Dortmund Wana Mpango wa Kumbakiza Sancho
Bundesliga

Klabu ya Borussia Dortmund kupitia kwa mkurugenzi wa klabu hiyo Sebastian Kehl ameeleza mpango wao ni kutaka kumbakiza winga Jadon Sancho anayekipiga klabuni hapo kwa mkopo akitokea Man United Jadon …

Soma zaidi
Michael Olise Kwenye Rada za United
Daily News

Winga wa klabu ya Crystal Palace raia wa kimataifa wa Ufaransa Michael Olise yupo kwenye rada za klabu ya Manchester United kuelekea dirisha kubwa la usajili mwezi Julai mwaka huu. …

Soma zaidi
Pochettino Akerwa Kuulizwa Hatma Yake Chelsea
Daily News

Kocha wa klabu ya soka ya Chelsea Mauricio Pochettino ameoneshwa kuchukizwa na maswali ya hatma yake ndani ya klabu hiyo na kua huenda akaondoka ndani ya timu hiyo mwishoni mwa …

Soma zaidi
Ten Hag Kumbe Alimtaka De Jong Acheze na Casemiro
Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag leo amefunguka kua ni kweli alimuhitaji kiungo wa klabu ya Barcelona aje klabuni hapo pamoja na kiungo Carlos Casemiro kutoka klabu …

Soma zaidi
SIMBA NA AZAM JOTO LIKO JUU KUELEKEA MCHEZO WAO
SOKA LA BONGO

ULE mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki Bongo Mzizima Dabi kati ya Simba dhidi ya Azam Fc umepangiwa tarehe na sasa siku zinahesabika kufika muda wa wababe wawili kusaka …

Soma zaidi
AZAM FC WANATAMBA NAMUNGO NAO WANATAMBA
SOKA LA BONGO

MATAJIRI wa Dar Azam FC leo Mei 3, 2024 wanakibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa CRDB Federation dhidi ya Namungo FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex …

Soma zaidi
AHMED ALLY: SIMBA NDO TIMU YENYE WACHEZAJI BORA ZAIDI
SOKA LA BONGO

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally, ametoa kauli ya kibabe, akisema timu ndiyo yenye wachezaji bora kuliko timu yoyote nchi hii. Kauli hiyo inakuja baada ya uvumi …

Soma zaidi
1 2 3 4 2,042 2,043 2,044