Makala mpya

Lukaku Yuko Tayari Kuichezea Roma Mara ya Mwisho Kabla ya Kurejea Chelsea
Serie A

Romelu Lukaku atacheza mechi yake ya mwisho akiwa na Roma kwenye Uwanja wa Stadio Olimpico wikendi huku akijiandaa kurejea Chelsea msimu huu wa joto. Mshambuliaji huyo wa Ubelgiji mwenye umri …

Soma zaidi
Napoli Inamfukuzia Gasperini wa Atalanta
Daily News

Napoli wameripotiwa kuwasiliana na kocha wa Atalanta Gian Piero Gasperini siku ya Alhamisi, kuhusu uteuzi unaowezekana kama mrithi wa kocha wa sasa wa Partenopei Francesco Calzona, kulingana na kulingana na …

Soma zaidi
Simba Ugenini Leo Dhidi ya Dodoma Jiji
SOKA LA BONGO

Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja wa Simba ambaye atakuwa ugenini leo dhidi ya Dodoma Jiji kutoka Dodoma, mchezo ambao utapigwa majira ya saa 10:00 …

Soma zaidi
YANGA YAFUNGUKA ALICHOJIFUNZA C.E.O TP MAZEMBE
SOKA LA BONGO

BAADA ya mijadala kuwa Mingi juju ya nini kimemfanya C.E.O wa TP Mazembe Fredric Kitengie aje kujifunza kutoka Yanga, licha ya kuwa Mazembe wameizidi Yanga Kila kitu, uongozi wa Klabu …

Soma zaidi
MGUNDA, MATOLA WAIPIGIA HESABU KALI DODOMA JIJI
SOKA LA BONGO

BENCHI la ufundi la Simba likiongozwa na kocha Juma Mgunda na Suleiman Matola  limebainisha kuwa maandalizi yanaanza kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, …

Soma zaidi
TABORA UNITED YAINGIA KAMBINI KUMALIZIA MSIMU
SOKA LA BONGO

Kikosi cha Timu ya Tabora United leo kimeanza maandalizi kwa ajili ya michezo mitatu iliyosalia Ligi Kuu ya NBC Soka Tanzania Bara kabla ya kumalizika kwa msimu wa 2023/2024. Mei …

Soma zaidi
Man City Ugenini Leo Dhidi ya Spurs
Daily News

Ligi kuu ya Uingereza EPL inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambao ni kati ya wenyeji Tottenham Hot Spurs dhidi ya Manchester City ambao ndio mabingwa watetezi wa ligi. …

Soma zaidi
Meridianbet Yaja na Huduma Mpya Mjini Kwa Kushirikiana na Golden Matrix.
Meridianbet

“Meridianbet Yapiga hatua kwenye soko la Kimataifa na sasa habari njema kwa wateja wake ni kwamba wanaweza kuwa sehemu ya Kampuni hii kubwa ya ubashiri na michezo ya kasino kwa …

Soma zaidi
Casemiro, Gabriel Jesus, Richarlison Watemwa Brazil
Daily News

Kikosi cha timu ya taifa ya Brazil ambacho kinatarajiwa kushiriki michuano ya Copa America baada mwezi wa sita kimetangazwa leo na nyota kadhaa wa kikosi hicho wakitemwa wachezaji hao ni  …

Soma zaidi
Mount Kuwakosa Arsenal kwasababu ya Majeraha
Daily News

Kiungo wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Uingereza Mason Mount atawakosa Arsenal katika mchezo wa jumapili utakaopigwa katika dimba la Old Trafford. Kocha wa Man United Eric …

Soma zaidi
1 2 3 4 2,045 2,046 2,047