Makala mpya

SIMBA NA YANGA WANAWACHANGIA TFF
SOKA LA BONGO

KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu nchini imezitoza faini Simba na Yanga kutokana na kosa la kuingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kupitia milango …

Soma zaidi
SIMBA KUIFUATA KAGERA KINYONGE
SOKA LA BONGO

BAADA ya kugawana pointi mojamoja dhidi ya Namungo, Uwanja wa Majaliwa kete inayofuata kwa Simba ni dhidi ya Mtibwa Sugar. Chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda akishirikiana na Seleman Matola …

Soma zaidi
ISHU YA KIBU DENIS NA YANGA IKO HIVI
SOKA LA BONGO

ASUBUHI ya leo, kumeibuka taarifa juu ya mshambuliaji wa Simba Kibu Denis kutakiwa na klabu ya Yanga. Taarifa zinadai kuwa, Yanga wamemuandalia mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya milioni …

Soma zaidi
Manchester United Yalazimishwa Sare Nyumbani
Daily News

Klabu ya Manchester United wameendelea kudondosha alama katika ligi kuu ya Uingereza baada ya leo kulazimishwa sare ya goli moja kwa moja na klabu ya Burnley wakiwa nyumbani. Baada ya …

Soma zaidi
Liverpool Yakabwa Koo Tena
Daily News

Klabu ya Liverpool imekabwa koo tena leo mbele ya klabu ya Westham United baada ya kulazimishwa sare ya mabao mawili kwa mawili katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza. Baada …

Soma zaidi
Ten Hag: Hatuwezi Kugombea Ubingwa Msimu Ujao
Daily News

Kocha wa Manchester United Erik Ten Hag ameweka wazi kua klabu hiyo haina uwezo wa kugombania ubingwa msimu ujao zaidi watagombea nafasi nne za juu. Kocha Ten Hag ameyazungumza hayo …

Soma zaidi
YANGA WALIKWAMIA HAPA KWA JKT
SOKA LA BONGO

BAKARI Mwamnyeto nahodha wa Yanga ameweka wazi kuwa moja ya sababu kubwa iliyofanya wakakosa ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania ni sehemu ya kuchezea kutokuwa …

Soma zaidi
SIMBA SAFARI YA MATUMAINI ZANZIBAR
SOKA LA BONGO

SIMBA wametinga hatua ya nusu fainali kwenye Mashindano ya Muungano Cup yaliyorejea Jana huko Visiwani Unguja, Zanzibar. Mshambuliaji anayesemwa sana kuwa ni wa kawaida, Fred Michael ndiye aliyeweka kwenye kamba …

Soma zaidi
Xavi Yupo Sana Barcelona
La Liga

Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi Hernandez kwenye hali ya kushangaza amewashtua mashabiki wa klabu hiyo baada ya kutangazwa kua ataendelea kusalia ndani ya viunga vya klabu hiyo vya Camp …

Soma zaidi
Bayern Munich Wamtolea Macho Rangnick
Daily News

Klabu ya Bayern Munich ipo kwenye mazungumzo na kocha wa timu ya taifa ya Austria raia wa kimataifa wa Ujerumani kwajili ya kuifundisha klabu hiyo msimu ujao. Bayern Munich itakua …

Soma zaidi
1 2 3 4 2,041 2,042 2,043